Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Alaska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alaska

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuJuneau
Eneo
 - Jumla1,717,854km²
 - Kavu1,481,347 km² 
 - Maji236,507 km² 
Tovuti:  http://www.alaska.gov/
Alaska

Alaska ni kati ya majimbo ya kujitawala yaMarekani. Iko kaskazini kabisa kwenye bara laAmerika ya Kaskazini.Alaska ni eneo la pekee haina mipaka na majimbo mengine ya Marekani mipaka yake kwenye nchi kavu ni naKanada (Yukon). Ncha ya Alaska inakaribiaSiberia (Urusi) katikaAsia kwenyemlango wa Bering.

Eneo lake ni kubwa kushinda majimbo mengine ya Marekani lakini idadi ya wakazi ni ndogo kutokana na mazingira magumu kuna wakazi 627,000 pekee (2000). Hali ya hewa ni baridi sana na katika sehemu kubwa ya jimbo hakuna uwezekano wa kulima mashamba.

Mji mkuu niJuneau lakini mji mkubwa niAnchorage.

Alaska iliwahi kutawaliwa na Urusi lakini iliuzwa kwa Marekani18 Oktoba1867. Tangu 1959 eneo lilipata hali ya jimbo la kujitawala.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]



Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuAlaska kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Alaska&oldid=1315586"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp