Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Al Gore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Al Gore

Al Gore (amezaliwa31 Machi,1948 mjiniWashington, D.C.) nimwanasiasa waMarekani akiwa mwanachama waChama cha Kidemokrasia. Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya RaisBill Clinton kuanzia mwaka wa1993 hadi2001. Mwaka wa2007, Gore alipokeaTuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAl Gore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Al_Gore&oldid=1331452"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp