Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Akili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akili (kwaKiingereza "intelligence") nikipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katikaubongo wabinadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwawema naubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.

Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kamasokwe,bonobo,mbwa[1] n.k. na hatamimea[2][3] huwa nadalili fulani za akili.

Dhana kuhusuasili ya akili zinatofautiana.

Akili bandia ni akili yamashine inayopatikana kwa kutumiaprogramu zakompyuta.

Marejeo

  1. "The Intelligence of Dogs".
  2. "Green plants as intelligent organism".
  3. "Mindless mastery".

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuAkili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Akili&oldid=1202681"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp