Katika 1Kor 15:22 anasema, "kama vile katika Adamu wote wanakufa, vivyo hivyo katika Kristo wote watafanywa hai" na katika mstari wa 45 unamuita Yesu "Adamu wa mwisho".
Halafu katikaRom 5:12–21 anasema, "kama vile kwa kosa la mtu mmoja wengi wamefanywa wakosefu, vivyo hivyo kwa utiifu wa mmoja wengi watafanywa waadilifu" (Rom 5:19).
Pelikan, Jaroslav.Development of Christian Doctrine: Some Historical Prolegomena. London: Yale University Press. 1969.
_______The Emergence of the Catholic Tradition (100–600). Chicago: University of Chicago Press. 1971.
Robertson, J. A. T. Redating the New Testament. 2nd ed. Philadelphia: Westminster Press. 1985.
Schweitzer, Albert.Quest of the Historical Jesus: A Critical Study of the Progress from Reimarus to Wrede. trans. by W. Montgomery. London: A & C Black. 1931.
Tyson, John R. Invitation to Christian Spirituality: An Ecumenical Anthology. New York: Oxford University Press. 1999.
Wilson, R. Mcl.Gnosis and the New Testament. Philadelphia: Fortress Press. 1968.
Witherington, Ben III.The Jesus Quest: The Third Search for the Jew of Nazareth. Downers Grove: InterVarsity Press. 1995.
_______"The Gospel of John." in The Dictionary of Jesus and the Gospels. ed. by Joel Greene, Scot McKnight and I. Howard
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAdamu mpya kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.