Abe Burrows (18 Desemba1910 –17 Mei1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi yaMarekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwaAbram Solman Borowitz. Mwaka wa 1962, pamoja na mtunziFrank Loesser, Burrows alipokeaTuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwatamthiliya yaoHow to Succeed in Business Without Really Trying.
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuAbe Burrows kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |