Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

AIM-9 Sidewinder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
AIM-9L sidewinder
AIM-9L sidewinder

AIM-9 Sidewinder nikombora la masafa mafupi hewa-kwa-hewa, yaani ni kombora ambalo hurushwa kutoka kwenyendege na inapaswa kugonga ndege nyingine.

Ilianza kutumiwamwaka wa1953 ikaingia katika vikosi vyahewa mwaka wa1956. Ilikuwa inatumika wakati wavita vya Vietnam sambamba naAIM-7 Sparrow, lakini haikuwa nzuri.

Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=AIM-9_Sidewinder&oldid=1042535"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp