Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

4G

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

4G Ni vizazi vya nne vya broadband mtandao wa simuteknolojia, vikifuatia3G na kuvipita5G. Mfumo wa 4G lazima utoe uwezo uliowekwa na ITU katika IMT Advanced.

Hata hivyo, mweziDesemba2010,ITU iliongeza ufafanuzi wake wa 4G kujumuishaLong Term Evolution (LTE),Worldwide Interoperability for Microwave Access (WiMAX), naEvolved High Speed Packet Access (HSPA+).[1]

Kiwango cha kwanza cha WiMAX kilianza kutumika kibiashara nchini Korea Kusini mwaka2006 na tangu wakati huo kimepelekwa sehemu kubwa duniani.

[2]

Teknolojia ya 4G inachukua 58% ya soko la teknolojia ya mawasiliano ya simu duniani.[3]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "ITU says LTE, WiMax and HSPA+ are now officially 4G".phonearena.com. Desemba 18, 2010. Iliwekwa mnamo19 Juni 2022.
  2. {{|title=How fast are 4G and 5G? - Speeds and UK network performance |url=https://www.4g.co.uk/how-fast-is-4g/ |access-date=2023-01-24 |website=www.4g.co.uk}}
  3. "Market share of mobile telecommunication technologies worldwide from 2016 to 2025, by generation".Statista. Februari 2022.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu4G kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=4G&oldid=1306211"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp