Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

1 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Des -Januari -Feb
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe1 Januari nisikuya kwanza yamwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 364 (365 katika miaka mirefu).

Matukio

[hariri |hariri chanzo]
MwakaTukio
1956Nchi yaSudani inapatauhuru kutokaMisri naUingereza
1984Nchi yaBrunei inapata uhuru kutokaUingereza
1993Nchi yaChekoslovakia inagawanywa kuwanchi huru mbili,Ucheki naSlovakia


Waliozaliwa

[hariri |hariri chanzo]
MwakaTukio
1431Papa Alexander VI
1638Go-Sai,mfalme mkuu waJapani (1654-1663)
1909Shaaban Robert,mshairi waKiswahili kutokaTanzania
1911Audrey Wurdemann, mshairi kutokaMarekani
1941Martin Evans, mshindi waTuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa2007
1941Evaristo Marc Chengula,askofu waJimbo Katoliki la Mbeya,Tanzania
1950Mudhihir Mohamed Mudhihir,mwanasiasa waTanzania
1953Alpha Blondy,mwanamuziki kutokaCote d'Ivoire
1954Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa waTanzania
1960Julius Nyaisangah,mtangazaji waredio kutokaTanzania
1962Richard Roxburgh,mwigizaji wafilamu kutokaAustralia
1992Jack Wilshere,mchezaji mpira kutokaUingereza


Waliofariki

[hariri |hariri chanzo]
MwakaTukio
379MtakatifuBasil wa Caesarea,askofu namwalimu wa Kanisa kutokaUturuki
1954Leonard Bacon, mshairi kutokaMarekani
1995Eugene Wigner, mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa1963
2008Lucas Sang,mwanariadha waKenya

Sikukuu

[hariri |hariri chanzo]
Maelezo
Katika nchi nyingi tarehe 1 Januari nisikukuu yaMwaka Mpya
Wakristo wengi, wakifuatamapokeo ya Roma, siku hii ya nane baada yaKrismasi, kwa kukumbukatohara yaYesu aliyofanyiwa siku hiyo, huadhimishasherehe yaBikira MariaMama wa Mungu, lakini pia kumbukumbu za watakatifuJustini wa Chieti,Almaki wa Roma,Eujendo wa Condat,Fuljensi wa Ruspe,Kyaro,Frodobati,Wiliamu wa Dijon,Odilo wa Cluny,Zdislava,Yosefu Maria Tomasi,Vinsenti Maria Strambi,Sigimundi Gorazdowski n.k.
Pia ni siku ya kimataifa ya kuombaamaniduniani

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu1 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=1_Januari&oldid=1459685"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp