Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mwanzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karibu kwenyeWikipedia,
Hadi leo tuna makala takriban102,731 kwaKiswahili

Je unapenda kuona Wikipedia yetu kama kitabu?Bofya hapa!
   

   

Kamusi Elezo ya Kiswahili

Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!

Wikipedia ni mradi wa kuandikakamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.

Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe nakufungua akaunti. AngaliaWikipedia:Mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angaliaukurasa wa jumuia,ukurasa wa jamii, na ule wamakala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.


Je, wajua...

Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:

Ngorongoro

  • ... kwambaHifadhi ya Ngorongoro imepokewa katika orodha yaurithi wa dunia yaUNESCO?
  • ... kwambaAsha-Rose Mtengeti Migiro nimwanasiasa wa kwanza kutoka nchiniTanzania aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu waUmoja wa Mataifa?
  • ... kwamba eneo laAfrika ya Mashariki ndilo ambalo lina uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika bara la Afrika!
  • ... kwambaSamia Hassan Suluhu nirais wa kwanzamwanamkeAfrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada yakifo cha mtangulizi wake,John Pombe Magufuli.


  • Makala ya wiki

    B. J. Vorster

    Balthazar Johannes "B. J." Vorster (13 December 1915 – 10 September 1983) alikuwa mwanasiasa kutokaAfrika Kusini na kiongozi wa chama chaNational Party ambaye alihudumu kamaRais wa Afrika Kusini kutoka 1966 hadi 1978.

    Vorster alizaliwa mjiniHartenbos, Afrika Kusini, na alikulia katika familia ya wakulima. Alihitimu kutokaChuo Kikuu cha Stellenbosch na alianza kujihusisha na siasa akiwa na umri mdogo, akijiunga na chama cha National Party. Alikuwa mfuasi mzito wa sera za ubaguzi wa rangi (Apartheid) na alishirikiana na viongozi wengine wa chama hicho kuendeleza utawala wa wazungu nchini Afrika Kusini.

    Kwa kipindi cha miaka kadhaa, Vorster alihudumu kama Waziri wa Usalama wa Ndani, ambapo aliwezesha kuimarisha sheria kali dhidi ya wapinzani wa serikali na kuendeleza sera za ubaguzi wa rangi. Alihusika katika utawala wa kihalifu dhidi ya makundi ya upinzani kama vileAfrican National Congress (ANC), na alikuwa na ushawishi mkubwa katika kupambana na harakati za kupigania haki za kiraia za watu weusi.►Soma zaidi


    Picha nzuri ya wiki

    Ziara ya Mwalimu Nyerere wa Tanzania mnamo Machi 12, 1985; Rais Nyerere akisikiliza maswali.

    Julius Nyerere (Butiama, 13 Aprili 1922 - London, 14 Oktoba 1999) alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa. Aliongoza Tanganyika tangu uhuru mwaka 1961 kama Waziri Mkuu, kisha baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, aliongoza Tanzania kama Rais hadi 1985. Aliundasera ya Ujamaa na Kujitegemea ambayo iliweka msisitizo kwenye usawa wa kijamii, elimu kwa wote na umoja wa kitaifa. Baada ya kustaafu urais, aliendelea kuishi kwa kuendeleza shughuli za kijamii na kilimo, na alifariki dunia kutokana na saratani ya damu tarehe 14 Oktoba 1999 akiwa London, na kuzikwa Butiama. Je ungependa kusoma zaidi kuhusu Mtu huyu? au ungependa kuchangia zaidi kuhusu mtu huyu? funguaHapa

    Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili

    • Idadi ya makala:102,731
    • Idadi ya kurasa zote:206,768 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
    • Idadi ya hariri:1,465,444
    • Idadi ya watumiaji waliojiandikisha:83,655
    • Idadi yawakabidhi:14
    • Idadi ya watumiaji hai:395 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
    Bofya hapa kwa kupata namba za sasa
    Katikamwezi wa Agosti 2025 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 7.79 hivi, ambayo ni sawa na mara 251,607 kwa siku au mara 10,483 kila saa ambalo ni ongezeko la mara 4.5 ukilinganisha na mwaka 2024 mwezi wa Agosti. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
    Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
    (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015hapa)
    • na makala 100 zilizotazamiwa zaidi"Topviews" kwa kipindi fulani.
    (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)

    Michango ya wanawiki: angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia(andika jina la mtumiaji kwenye sanduku)

    Jumuia za Wikimedia

    Kamusi elezo ya Wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini yaShirika Lisilo la Kiserikali laWikimedia Foundation, ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini. Mpaka sasa miradi inayopatikana Kiswahili ni Wikipedia na Wikamusi. Wikitabu imewekwa Kiswahili lakini bado ni tupu. Mengine inapatikana Kiingereza pamoja na lugha tofauti.
    Commons
    Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti
    Meta-Wiki
    Uratibu wa Miradi yote ya Wikimedia
    Wikamusi
    Kamusi na Tesauri
    Wikitabu
    Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia
    Wikidondoo
    Mkusanyiko wa Nukuu Huria
    Wikichanzo(Wikisource)
    Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili
    Wikispishi
    Kamusi ya Spishi
    Wikichuo
    Jumuia ya elimu
    Wikihabari
    Habari Huru na Bure

    Wikipedia kwa lugha nyingine

    Wikipedia kwa lugha nyingine

    Wikipedia ipo katika lugha zaidi ya 340. Bofya hapa kuona orodha kamili yalugha zote za Wikipedia.

    Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya1,000,000:
    Kiarabu cha Misri -Deutsch (Kijerumani) -English (Kiingereza) -Español (Kihispania) -Français (Kifaransa) -Italiano (Kiitalia) -日本語 (Kijapani) -Nederlands (Kiholanzi) -Polski (Kipolishi) -Português (Kireno) -Русский (Kirusi) -Svenska (Kiswidi) -Українська (Kiukraina) -Tiếng Việt (Kivietinamu) -中文 (Kichina)
    Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya500,000:
    Català (Kikatalunya) -Česky (Kicheki) -Bahasa Indonesia (Kiindonesia) -Suomi (Kifini) -Magyar (Kihungaria) -Norsk bokmål (Kinorway) -Română (Kiromania) -Türkçe (Kituruki) -
    Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya250,000:
    Dansk (Kidenmark) -Esperanto (Kiesperanto) -Slovenčina (Kislovakia) -
    Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya100,000:
    Afrikaans (Kiafrikana) ·Malagasy (Kimalagasi) -Swahili (Kiswahili) -
    Baadhi ya lugha nyingine za Afrika:
    አማርኛ ·Bamanankan ·Chi-Chewa ·chiShona ·chiTumbuka ·Ɛʋɛ ·Fulfude ·Gĩkũyũ ·Hausa ·Ìgbo ·isiXhosa ·isiZulu ·Taqbaylit ·Kikongo ·Kinyarwanda ·Kirundi ·Lingala ·Luganda ·Oromoo ·Oshiwambo ·Sängö ·seSotho ·Setswana ·SiSwati ·Soomaaliga ·ትግርኛ ·Tshivenda ·Twi ·Wolof ·Xitsonga ·Yorùbá ·
    Jinsi ya kuanzisha Wikipedia kwa lugha mpya
    Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwanzo&oldid=1456367"
    Jamii:

    [8]ページ先頭

    ©2009-2025 Movatter.jp