Karibu kwenyeMeta-Wiki, ni wavuti ya jumuia yamiradi yaWikimedia Foundation na miradi yake mingine inayohusiana, kuanzia uratibu na utunzaji wa hati na uchambuzi wa mipango kwa ajili ya Wikimedia.
Wiki zingine ambazo meta pia hutazamia ni pamoja naWikimedia Outreach miradi maalumu ambayo ina mizizi yake katika Meta-Wiki. Majadiliano yanayohusiana na Meta nayo huchukua nafasi yake katikaorodha ya utumiwaji wa barua-pepe za Wikimedia (hasa katikawikimedia-l, ikiwa na usawa mdogo wa utembelewaji wa watu waWikimediaAnnounce),Idhaa ya IRC kwenye Libera, wiki moja baada ya nyingine nachapter zake, n.k.
| November 20 – December 1: | Vote for the new wiki for language-independent content that can be used in Wikipedias and other projects to fill gaps until 1 December 2025. |
| November 22 – November 23: | CEE Youth Group Meeting 2025 in Yerevan, Armenia |
| November – December 31: | The Wiki Science Competition 2025 onCommons |
| October 30 – December 11: | Affiliations Committee, Ombuds commission, and Case Review Committee accepting applications until 11 December 2025. |
Content projects specialized by linguistic edition
Multilingual content projects
Outreach and administration projects
Technical and development projects