2014, Inyani Simala,Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya[1],→ISBN, page229:
Kwa namna hiyo,Ginekweta inakuwa nchi tofauti na Ginebisau na pia Gine.
In this way,Equatorial Guinea is a different country from both Guinea-Bissau and Guinea.
2012, Benard Odoyo Okal,NAFASI YA TAFSIRI KATIKA TAALUMA YA ONOMASTIKI: UHAKIKI WA MBINU ZAKE KATIKA TAFSIRI YA TOPONOMASTIKI (Kiswahili Journal;75)[2], Dar es Salaam, Tanzania: Journal of the Institute of Kiswahili Research, pages27–42:
Sauti /q/ haipo katika uchunguzi wa fonimu za lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo mara nyingi sauti hii hutoholewa kwa kuhamishwa katika Kiswahili kama sauti /k/ na hatimaye kuchangia katika tafsiri ya majina ya nchi kama vile Iraq (Iraki), Qatar (Katari), Equatorial Guinea (Ginekweta) na Mozambique (Mozambiki).
The sound /q/ is absent from research on the phonemes of Swahili. Therefore, this sound is frequently adapted by modification in Swahili as the sound /k/ and finally ends up in the translations of the names of countries likeIraki (Iraq),Katari (Qatar),Ginekweta (Equatorial Guinea), andMozambiki (Mozambique).